Kiungo wa Simba Francis Kahata hayupo kwenye kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bandari Fc
Kahata aliondoka siku chache zilizopita ambapo imefahamika kuwa alipewa ruhusa akamuuguze mwanae ambaye anasumbuliwa na matatizo ya figo
Kahata amethibitisha ni kweli amerejea Kenya, kushughulikia matibabu ya mwanae
Kiungo huyo fundi atakosa mechi tatu za kirafiki dhidi ya Bandari Fc, Mashujaa na Agle Noir
ADVERTISE HERE