Magori akanusha uzushi unaosambazwa mitandaoni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2019
Magori akanusha uzushi unaosambazwa mitandaoni

Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Sc Crescentius Magori amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu wachezaji kadhaa wa klabu ya Simba kudai fedha za usajili

Magori amesema anao ushahidi wa kumbukumbu za malipo yote ya wachezaji hao na ameshangazwa na kituo kimoja cha redio nchini kuwa chanzo cha kusambaza uzushi huo.

Magori amesema atalipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria kwa kuwa linamchafua yeye pamoja na klabu ya Simba

Mapema leo kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikidai baadhi ya wachezaji wa Simba wamegoma wakishinikiza walipwe fedha za usajili

Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hiyo ni Jonas Mkude, Clatous Chama, Gadiel Michael na Francis Kahata

Taarifa hiyo imemtuhumu Magori kuwa ndiye aliyekwamisha kukamilika kwa malipo ya wachezaji hao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’