Kocha Rwanda ampumzisha Kagere timu ya Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2019
Kocha Rwanda ampumzisha Kagere timu ya Taifa

Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere huenda asiwe sehemu ya kikosi cha Rwanda ambacho kitacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania Oktoba 14

Kagere ameendelea kujifua na Simba ambapo mpaka jana hakuwa amepokea wito kutoka shirikisho la Soka nchini Rwanda

Timu hiyo huenda ikatumia wachezaji wake wanaocheza ligi za ndani kama ilivyofanya Tanzania

Kagere amesema anafahamu mchezo huo ni wa kirafiki hivyo hakuna cha kupoteza hata kama hakujumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo

"Timu yangu ya Rwanda itacheza na Tanzania, najua lakini kwa upande wangu sifahamu kama nitakuwa miongoni mwa kikosi hicho kwa kuwa bado sijaitwa, ngoja tusubiri, nikiitwa sawa, nisipoitwa pia haina shida," amesema Kagere

"Sina wasiwasi sababu mchezo wenyewe ni wa kirafiki, hakuna cha kupoteza, inawezekana kocha ameamua kuwapa nafasi zaidi wachezaji wanaocheza ligi ya ndani"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’