Gadiel apona majeraha, aingia kambini Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2019
Gadiel apona majeraha, aingia kambini Stars

Beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael leo ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda na mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan michuano ya CHAN

Stars imeanza mazoezi leo kwenye uwanja wa Taifa

Gadiel alikosa michezo miwili ya Simba Ligi Kuu kutokana na kuwa majeruhi

Nyota wengine wa Simba walioitwa Stars ni Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin na Miraji Athumani

Stars itacheza na Rwanda Oktoba 14 nchini Rwanda ukiwa ni mchezo wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA

Kisha itaelekea Uganda ambako itacheza na Sudan, mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya michuano ya CHAN huku timu hiyo ikiwa iko nyuma kwa bao 1-0 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’