Simba kuifuata Ndanda FC Alhamisi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Dec 2017
Simba kuifuata Ndanda FC Alhamisi
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi kuelekea mkoani Mtwara ambako Jumamosi ya Disemba 30 kitachuana na Ndanda FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12.

Simba iliingia kambini jana Jumanne kujiandaa na mchezo huo unaotarajiwa kuwa mgumu.

Hata hivyo Simba imekuwa na historia nzuri kila inapocheza kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, kwani msimu uliopita iliondoka na ushindi wa mabao 2-0.

Meneja wa Simba Richard Robert amesema kikosi kiko kamili na wanatarajia wataondoka na alama zote tatu mkoani Mtwara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’