Simba yarejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku mbili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Oct 2019
Simba yarejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku mbili

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa Uhuru kujiandaa na michezo inayofuata ligi kuu ya Vodacom

Kocha Mkuu Patrick Aussems alitoa mapumziko ya weekend kwa wachezaji wake baada ya kufanya mazoezi kwa siku tano mfululizo

Simba itarejea dimbani ligi kuu Oktoba 23 ikicheza na Azam Fc

Hata hivyo mabingwa hao wa nchi huenda wakacheza mechi mbili za kirafiki kabla ya mchezo huo ili kuwaweka wachezaji kwenye ushindani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’