Kagere apiga hesabu ya bao 30 ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Oct 2019
Kagere apiga hesabu ya bao 30 ligi kuu

Baada ya kufunga mabao 23 msimu uliopita, mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere anapiga hesabu ya kufunga kuanzia mabao 30 msimu huu

Mpaka sasa Kagere tayari ameshafunga mabao sita akiongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu kwa msimu wa pili mfululizo mapema tu baada ya mechi nne

Kagere amefunga kwenye kila mchezo akiwa na wastani wa kufunga zaidi ya bao moja kila mechi

"Nafurahi tumeanza ligi vizuri, ushindi katika mechi zilizopita umetuongezea morali," amesema

"Mimi kama mshambuliaji kazi yangu kubwa ni kufunga ili kuhakikisha naisaidia timu kupata ushindi"

"Siwezi kusema nitafunga mabao mangapi lakini muhimu nitajitahidi kutumia nafasi ninazopata katika kila mchezo ili kufunga"

Kama Kagere ataendeleza wastani huo wa ufungaji ni wazi upo uwezekano atafunga mabao zaidi ya 30

Aidha mshambuliaji huyo yuko katika nafasi ya kuvunja rekodi ya mabao ligi kuu ya Tanzania Bara ambayo inashiliwa na Mohammed Hussein 'Mmachinga' aliyewahi kufunga mabao 26 kwenye msimu mmoja

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’