Timu ya Vijana U20 Tanzania Bara, Ngorongoro Heroes imerejea leo kutoka nchini Uganda ambao walishiriki na kutwaa taji la mchuano ya CEFACA Challenge ngazi ya vijana
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe aliongoza mapokezi ya vijana hao ambao wameacha gumzo nchini Uganda
Walitwaa ubingwa jana baada ya kuifunga Kenya bao 1-0.
Wameibuka mabingwa huku wakiweka rekodi ya kutofungwa mchezo hata mmoja
ADVERTISE HERE