Miraji afurahia tuzo VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Oct 2019
Miraji afurahia tuzo VPL

Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani amesema mafanikio aliyopata kwa kuibuka mchezaji bora wa VPL kwa mwezi Septemba, yamechangiwa na ushirikiano wa wachezaji wenzake Simba

Miraji ametwaa tuzo hiyo sambamba na kocha wake Patrick Aussems aliyetwaa tuzo ya kocha bora

Nyota huyo wa zamani wa Lipuli Fc, amesema amepata faraja kushinda tuzo hiyo, anaamini itamuongezea chachu ya kujituma zaidi

"Nimepata moja ya tuzo ambayo kila mchezaji kwenye Ligi Kuu ana ndoto ya kuipata. Ushirikiano ninaoupata kutoka kwa wachezaji wenzangu umefanikisha hilo," amesema

Miraji ameanza vyema maisha yake katika klabu ya Simba, ambapo mpaka sasa amefunga mabao matatu kwenye ligi

Ubora wake katika klabu ya Simba umempa nafasi ya kuitwa timu ya Taifa ambayo inajiandaa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda October 14

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’