Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo mkabaji raia wa Brazil Gerson Fraga
Fraga ni mmoja wa nyota watatu kutoka Brazil ambao wamesajiliwa na Simba msimu huu
Amekuwa na mwanzo mzuri kwenye kikosi cha Patrick Aussems akicheza mechi tatu za ligi kuu ya Vodacom
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya siku aliyozaliwa
Bila shaka Aishi Manula, Mohammed Hussein na ile kamati ya 'Birthday' watamkaribisha vyema Msimbazi!
ADVERTISE HERE