Kocha wa timu ya Taifa Etienne Ndayiragije amemuongeza mshambuliaji wa Polisi Tanzania Ditram Nchimbi kwenye kikosi cha Stars ambacho kitacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda
Jana Nchimbi aliiongoza Polisi Tanzania kupata sare ya mabao 3-3 dhidi ya Yanga, akifunga mabao yote matatu ya Polisi Tanzania 'hat-trik'

ADVERTISE HERE