Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba 2019
Tuzo ya mchezaji bora imeenda kwa Miraji Athumani 'Sheva'

Aussems aliiongoza Simba kushinda mechi zote tatu zilizochezwa mwezi wa tisa huku MIraji Athumani akipachika mabao matatu
ADVERTISE HERE