Mapema leo, Kaimu kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Etienne Ndayiragije ameita wachezaji 28 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda
Mchezo huo utapigwa Oktoba 14 nchini Rwanda
Miongoni mwa wachezaji hao, saba wametoka klabu ya Simba, mabingwa wa soka Tanzania Bara
Shomari Kapombe, Gadiel Michael, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin na Miraji Athumani wote wamejumuishwa kwenye kikosi hicho
Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE