Suala la Mkude lapelekwa Kamati ya Utendaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Oct 2019
Suala la Mkude lapelekwa Kamati ya Utendaji

Unaweza kusema uongozi wa klabu ya Simba umedhamiria kukomesha tabia ya baadhi ya wachezaji kupuuza majukumu yao baada ya kulivalia njuga suala la kiungo Jonas Mkude

Kamati ya Utendaji ya klabu ya Simba inatarajiwa kukutana kujadili masuala mbalimbali likiwemo suala la kiungo huyo

Mkude alikosa safari ya kanda ya ziwa na sasa hatma yake itasubiri uamuzi wa mwisho wa kikao hicho

Mkude ametoa sababu kuwa alichelewa ndege baada ya kupitiwa na usingizi

Hata hivyo juzi pia hakutokea mazoezini ikielezwa uongozi ulimzuia kujiunga na wenzie hadi hapo suala lake litakapopatiwa ufumbuzi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’