Wilker apiga hesabu ya kufunga bao 15 ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Oct 2019
Wilker apiga hesabu ya kufunga bao 15 ligi kuu

Mshambuliaji mpya wa Simba, Mbrazili Wilker Da Silva amesema akipewa nafasi zaidi ya kucheza anaweza kumaliza msimu huu akiwa amefunga mabao kati ya 10 mpaka 15.

Da Silva aliichezea Simba kwa mara kwanza tangu alipojiunga nayo baada ya kuingia akitokea benchi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar.

Da Silva, alisema haikuwa kazi rahisi kupata nafasi ya kuitumikia timu hiyo kwani kuna wachezaji wengi wenye uwezo ambao wanafanya vizuri katika nafasi ya ushambuliaji.

"Nilikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu, lakini kurudi tu uwanjani kocha Patrick Aussems amenipa nafasi ya kutumika ingawa si dakika nyingi huu ni mwanzo, lakini kadri muda ambavyokuwa unazidi kwenda naimani nitatumika zaidi," alisema.

"Nipo tayari kwa kushindana kutokumuangusha Aussems, ambaye atakuwa ananipa nafasi ya kucheza kwani kufanya hivyo nitaweza kuisaidia timu na kufikia malengo yake ya kutetea ubingwa msimu huu.

"Sijafunga bao hata moja, lakini nimejiwekea malengo ya kufikisha 10 mpaka 15, kama nikiwa mzima jambo ambalo naimani kwa kushirikina na wachezaji wenzangu, ntafanikiwa”

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’