Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewapa wachezaji siku moja ya mapumziko
Kikosi cha mabingwa hao wa soka Tanzania kitaendelea na mazoezi kesho Alhamisi
Simba ina wiki tatu za kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofuata ambao ni dhidi ya Azam Fc na utapigwa October 23 katika uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE