TAARIFA
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba ndugu Barbara Gonzalez amefiwa na Baba yake Mzazi
Shughuli za msiba ziko nyumbani kwake Masaki na kesho Alhamisi kutakuwa Na shughuli ya misa kabla ya Maziko
Mungu ailaze roho yake Mahali Pema Peponi, AMEN
ADVERTISE HERE