Pamoja na ushindi, Aussems anataka soka la kuvutia zaidi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2019
Pamoja na ushindi, Aussems anataka soka la kuvutia zaidi

Pamoja na kuiongoza Simba kushinda michezo yote minne ya kwanza kwenye ligi kuu ya Vodacom, kocha Mkuu wa timu hiyo Patrick Aussems amesema anataka kuona wachezaji wake wanacheza soka la kuvutia

Tangu msimu uliopita Simba imejipambanua kuwa timu inayocheza 'sexy football' kuliko timu yoyote Tanzania

Aussems amesema huo ni mpira ambao anataka timu yake icheze, kwani pamoja na kushinda mechi, lengo ni kuwapa burudani mashabiki wake

Mbelgiji huyo amesema baada ya kuondoshwa mapema kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, msimu wamepania kuwapa furaha mashabiki wao kwa kuhakikisha wachezaji vizuri, wanashinda mechi na kutwaa mataji mengi

Amesema lengo kuu msimu huu ni kutwaa mataji yote ambayo timu hiyo itashiriki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’