Aussems afurahi kuondoka na alama sita kanda ya ziwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Sep 2019
Aussems afurahi kuondoka na alama sita kanda ya ziwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema matokeo ya ushindi katika michezo miwili waliyocheza Kanda ya ziwa yameongeza kujiamini kwa wachezaji wake

Simba imerejea leo kutoka Mwanza baada ya kukamilisha michezo miwili dhidi ya Kagera Sugar na Biashara United

Aussems amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar ni matokeo waliyoyahitaji zaidi kwani timu hiyo iliwapa sana usumbufu msimu uliopita

Aidha akizungumzia mabadiliko aliyofanya kwa kikosi chake akiwapa nafasi Kennedy Juma na Said Ndemla kwa mara ya kwanza msimu huu, Aussems amesema yalikuwa ni mabadiliko ya kiufundi ambayo pia yaliangalia mahitaji ya mchezo huo

Amesema wachezaji wote 24 wa kikosi chake watapata nafasi kutegemeana na mahitaji ya mchezo pamoja na utayari wao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’