Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba imemteua Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Salim Kikeke kuwa Balozi wa Simba Sports Club wa mji wa London nchini Uingereza
Kikeke ni Mwanasimba 'damdam' ambaye huwa hafichi mapenzi yake kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara
Mapema leo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji alimkabidhi Kikeke jezi ya Simba
ADVERTISE HERE