Huyu Kennedy ni beki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2019
Huyu Kennedy ni beki

Beki Kenney Juma leo amedhihirisha ubora wake akicheza vizuri katika mchezo dhidi ya Biashara United

Kennedy hakuwa amepata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza tangu alipojiunga na Simba usajili ulipita

Ameonyesha uwezo mkubwa leo na pengine huenda ukawa mwanzo wa kumshawishi kocha Patrick Aussems kumpa nafasi zaidi

Aussems amekuwa akiwategemea zaidi Paschal Wawa, Erasto Nyoni na Tairone Da Silva kwenye safu ya ulinzi

Kukosekana kwa Nyoni kwenye kikosi kumetoa nafasi kwa Kennedy kuonyesha makali yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’