Senzo ana 'enjoy' Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2019
Senzo ana 'enjoy' Simba

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingiza yuko katika msafara wa kikosi cha timu hiyo ambao uko kanda ya ziwa

Senzo alianzia Kagera ambako alikuwa uwanjani kushuhudia Simba ikitoa kipigo cha mabao 3-0 kwa Kagera Sugar

Baade alielekea Mwanza na kisha jana Wilayani Musoma ambapo leo Simba itacheza na Biashara United

Bosi huyo mpya aliyechukua nafasi ya Crescentius Magori, ameeleza furaha yake kufika Musoma ambako ndiko alikozaliwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’