Simba yatua Musoma kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Sep 2019
Simba yatua Musoma kibabe

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama wilayani Musoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Karume

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuwalaki mabingwa hao wa nchi ambao watakuwa mjini hapo kwa takribani siku mbili

Hii ni nafasi nyingine kwa wakazi wa Musoma na maeneo ya jirani kuishuhudia timu yao 'mbashara' hapo kesho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’