Kikosi cha Simba kiliwasili mapema leo mkoani Mwanza kikiwa safarini kuelekea Mara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Biashara United
Jioni Simba imefanya mazoezi kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Kesho asubuhi mabingwa hao wa Tanzania Bara wataelekea Musoma ambako jioni watafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Karume kabla ya kuwakabili Biashara United siku ya Jumapili, Septemba 29 2019





ADVERTISE HERE