Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la FA, kikosi cha Simba kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12 dhidi ya Ndanda FC.
Simba itaikabili Ndanda FC Disemba 30 katika mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Nangwanda Sijaona, mkoani Mtwara.
Kocha msaidizi Masudi Djuma ndiye anayeongoza kikosi cha Simba baada ya kutimuliwa aliyelkuwa kocha kwa miezi 17, Joseph Omog.
Simba bado iko kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ikiwa na alama 23 sawa na Azam FC lakini Simba ikiwa na mabao mengi ya kufunga.

ADVERTISE HERE