Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba umewasili jijini Mwanza ukiwa njiani kuelekea mkoani Mara kuikabili Biashara United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Simba inatarajiwa kuweka kambi ya siku moja Mwanza na kuondoka kesho Jumamosi kuelekea Mara
Mchezo dhidi ya Biashara United utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Karume, wilayani Musoma




ADVERTISE HERE