Mexime aionyooshea mikono Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Sep 2019
Mexime aionyooshea mikono Simba

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar Meckie Mexime ameipongeza klabu ya Simba kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo baina ya timu hizo uliopigwa uwanja wa Kaitaba jana

Kabla ya mchezo huo Mexime alikuwa akitamba kuwa ataendeleza umwamba kwa Simba lakini kilichotokea ni kinyume, Simba ikitawala mchezo na kufanya itakavyo

"Nawapongeza Simba kwa kuibuka na ushindi, walicheza vizuri, sisi tulifanya makosa mengi na wao waliyatumia makosa hayo kutuadhibu," Mexime aliwaambia waandishi wa habari baada ya mchezo

"Simba ni timu bora barani Afrika, ukizungumzia timu nne bora, Simba ni miongoni mwao"

"Mchezo huu umepita sasa tunajiandaa na mcheo unaofuata"

Ushindi waliopata Simba jana umerejesha kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa wamefikisha alama tisa wakishinda mechi zote tatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’