Wakati mabingwa watetezi Simba wakitarajiwa kushuka dimba la Kaitaba kesho Alhamisi kuikabili Kagera Sugar, mechi sita za ligi kuu ya Vodacom zitapigwa leo katika viwanja mbalimbali
Namungo Fc ambayo ina nyota wawili kutoka Simba wanaocheza kwa mkopo, Mohammed Ibrahim 'Mo' na Paul Bukaba, itakuwa na nafasi ya kuiondosha Kagera Sugar kileleni mwa msimamo wa ligi kama itaifunga KMC keo katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Mechi zote za leo;

ADVERTISE HERE