Nyasi bandia zawasili Bunju

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2019
Nyasi bandia zawasili Bunju

Katika kipindi cha siku 21 huenda Simba ikakamilisha kutandika nyasi bandia kwenye moja ya viwanja vyake huko Bunju

Achana na kile kiwanja chenye nyasi asilia ambacho hivi karibuni kocha Patrick Aussems alikwenda kukikagua, zoezi la kutandaza nyasi bandia kwenye kiwanja cha pili tayari limeanza

Uongozi wa Simba umesema wanatarajia kukamilisha zoezi hilo katika kipindi cha siku 21

Mpaka mwisho wa mwezi ujao huenda Simba ikaanza matumizi ya viwanja hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’