Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba umeondoka asubuhi ya leo Jumatano Septemba 25 kuelekea mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi kwenye uwanja wa Kaitaba
Simba imetumia usafiri wa ndege kuifuata Kagera Sugar

ADVERTISE HERE