Simba yawaweka sawa mashabiki kanda ya ziwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Sep 2019
Simba yawaweka sawa mashabiki kanda ya ziwa

Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wake wa kanda ya ziwa kuwa tayari kuipokea timu hiyo na kujitokeza kwa wingi katika michezo watakayocheza mwishoni mwa wiki

Alhamisi ya Septemba 26 Simba itakuwa Kagera kumenyana na Kagera Sugar kisha kuelekea mkoani Mara kuikabili Bishara United Septemba 29

Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kilirejea mazoezini uwanja wa Gymkhana kujiandaa na michezo hiyo

Safu ya ushambuliaji kwenye michezo hiyo inatarajiwa kuongozwa na Meddie Kagere, Miraji Athumani na Wilker Da Silva ambaye anasubiri kupata nafasi ya kuitumikia Simba kwa mara ya kwanza kwenye ligi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’