Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa Alhamisi, Septemba 26 katika uwanja wa Kaitaba
Mshambuliaji kinara wa mabao Meddie Kagere ni mongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi hayo








ADVERTISE HERE