Wawa katika vita ya namba na Tairone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Sep 2019
Wawa katika vita ya namba na Tairone

Beki Tairone Da Silva raia wa Brazil amecheza mechi mbili za Simba kwenye ligi akichukua nafasi ya mkongwe Paschal Wawa ambaye alikuwa majeruhi

Tairone alionyesha kiwango kizuri kwenye michezo hiyo hivyo kumuweka kwenye wakati mgumu Wawa ambaye atalazimika kupigania namba yake

Wawa hakuanza msimu vizuri akijikuta kwenye lawama akionekana kukosa kasi ya kupambana kama ilivyokuwa msimu uliopita

Kuhakikisha anarejesha makali yake, Wawa amekuwa akifanya mazoezi ya ziada kila baada ya mazoezi ya timu kumalizika

Mkongwe huyo raia wa Ivory Coast ameonekana kufanya mazoezi ya kukimbia wakati wenzake wanaporejea majumbani baada ya kumaliza mazoezi

Wawa amesema anaamini mazoezi hayo yatamuimarisha zaidi na kurejea kikosini akiwa imara

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’