Aveva, Kaburu wafutiwa makosa ya utakatishaji fedha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Sep 2019
Aveva, Kaburu wafutiwa makosa ya utakatishaji fedha

Aliyekuwa Rais wa Simba Evans Aveva na Msaidizi wake, Geoffrey Nyange 'Kaburu' wamefutiwa makosa ya utakatishaji fedha katika Mahakama ya Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam, leo.

Kwa maana hiyo, washtakiwa hao wanaweza kupata dhamana na kurejea uraiani baada ya kusota mahabusu kwa miaka kadhaa.

Hata hivyo, Aveva na Kaburu wamepatikana na kesi za kujibu katika mashitaka mengine

Hakimu Mkazi Mkuu Mahakama ya Kisutu Thomas Simba ametoa masharti ya dhamana kwa washtakiwa hao kuwa wadhaminiwe na wadhamini wawili watakaosaini dhamana ya maandishi ya Sh milioni 30, wadhamini wawe na vitambulisho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’