Kiungo Said Khamis Ndemla ameuanza msimu vibaya akikosa michezo yote ya Simba
Kumekuwana sintofahamu juu kinachomsibu kiungo huyo ambaye ni hivi karibuni tu aliongeza mkataba wa miaka miwili
Awali ilielezwa kuwa alikuwa amefuzu majaribio nchini Sweden hata hivyo mpango huo haukuweza kukamilika
Ndemla ni miongoni mwa wachezaji waliobarikiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kupiga mashuti makali
Amekuwa na kawaida ya kufunga mabao kwa makombora makali, wengi wanatamani kumuona tena dimbani
Pengine ushindani wa namba katika kikosi cha Simba umekuwa kikwazo kwake kupata nafasi
ADVERTISE HERE