Bocco aongezwa wiki nne za matibabu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2019
Bocco aongezwa wiki nne za matibabu

Nahodha wa Simba John Bocco alianza mazoezi mepesi hivi karibuni akiwa mbioni kurejea kikosi baada ya kuwa nje kwa wiki tatu kutokana na majeraha ya goti aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc

Hata hivyo imebainika kuwa mshambuliaji huyo bado hajapona majeraha yake na atahitaji muda zaidi kuendelea kutibiwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema Bocco anaweza kuwa nje kwa wiki nne zaidi

Wakati Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya kagera Sugar, safu yake ya ushambuliaji imeendelea kusumbuliwa na majeruhi

Mcongomani Deo Kanda anasumbuliwa na matatizo ya misuli wakati mshambuliaji kinara wa mabao Meddie Kagere alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Hata hivyo Wilker Da Silva amerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki tano

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’