Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems leo alitembelea Bunju Arena kujiridhisha na maendelea ya viwanja vya klabu ya Simba
Aussems ameridhishwa na alichokiona na pengine siku si nyingi Simba itaanza rasmi kujifua katika uwanja wake wa nyasi asili ambao uko katika hatua za mwishoni kukamilika

ADVERTISE HERE