Kagere chini ya uangalizi maalum

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2019
Kagere chini ya uangalizi maalum

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mshambuliaji hatari wa timu hiyo Meddie Kagere alipata majeraha madogo kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Kagere hakuwa sehemu ya wachezaji waliofanya mazoezi leo kwenye uwanja wa Gymkhana na kuibua maswali kuhusu alipo kinara huyo wa mabao

Hata hivyo Aussems amesema mchezaji huyo yuko chini ya uangalizi maalum kufuatia majeraha hayo

Aussems ameongeza kuwa kwa sasa safu yake ya ushambuliaji inamtegemea zaidi yeye kutokana na washambuliaji wengine John Bocco na Wilker Da Silva kutokuwa fit

Hivyo wanalazimika kuwa makini na afya yake

Kagere ameanza msimu mpya kwa kishindo akiwa akiwa tayari amefunga mabao matatu katika michezo miwili aliyocheza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’