Misuli yaendelea kumtesa Kanda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2019
Misuli yaendelea kumtesa Kanda

Winga Deo Kanda amepewa program ya mazoezi ili kumaliza tatizo la misuli linalomsimbua

Kanda hakuweza kucheza mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana na tatizo hilo

Mcongomani huyo leo alishiriki mazoezi ya Simba yanayofanyika uwanja wa Gymkhana lakini alifanya mazoezi ya peke yake

Daktari wa Simba Dk Yassin Gembe amesema majeraha yake ni ya kawaida lakini wanampa program ili kuhakikisha yanapona kabisa

Bila shaka atakuwa tayari kuivaa Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi ambao utapigwa Septemba 26 mkoani Kagere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’