Stars kucheza na Sudan Septemba 22

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Sep 2019
Stars kucheza na Sudan Septemba 22

Mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za michuano ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza ndani kati ya Tanzania dhidi ya Sudan, utapigwa Jumapili ijayo, Septemba 22 kwenye uwanja wa Taifa

Timu hizo zitarudiana Oktoba 18 nchini Sudan

Kaimu kocha Mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije mapema leo alitangaza kikosi cha wachezaji 25 ambacho kitaikabili Sudan

Kikosi hicho kimejumuisha wachezaji nane wa Simba

Mchezo huo wa Stars umepelekea kutokuwepo kwa mchezowa ligi kuu  dhidi ya Lipuli Fc ambao awali ulipangwa kupigwa Septemba 22 kwenye uwanja wa Uhuru

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’