Sasa wachezaji wajiandae

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2017
Sasa wachezaji wajiandae
Baada ya Simba kumtimua kocha Mkuu Joseph Omog na kumkabidhi timu kocha msaidiz, Masudi Djuma, sasa panga litawapitia wachezaji wasiokuwa na mchango kwenye kikosi cha Simba.

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba, Haji Manara amesema baada ya mabadiliko ya kocha sasa watahamia upande wa wachezaji ili kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa VPL msimu huu.

"Baada ya badiliko la jana la kocha, sasa tunakwenda kujenga fighting spirit ya wachezaji wetu. Sisi tunatimiza wajibu wetu. Washabiki wanaumia na team yao na wachezaji wajue ukubwa wa Simba," amefunguka Manara

Simba italazimika kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu ili iweze kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’