Nahodha wa Msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Tshabalala' leo alishika kamera kuwapiga picha wachezaji wenzake waliokuwa wakijifua kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam
Beki huyo mahiri alionekana kufurahia majukumu hayo ya uwandishi wa habari ambayo alijipa kwa muda
Simba inajifua kujiandaa na mchezo unaofuata wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli Fc
ADVERTISE HERE