Simba kwa sasa inaendeshwa kisasa buana! Kila jambo limewekewa utaratibu wake
Jana kocha wa viungo Adel Zrane aliwapiga mkwara wachezaji wa Simba ambao wamekuwa wakifanya mazoezi hasa ya Gym kiholela
Alisema wachezaji hawatakiwi kwenda kufanya mazoezi hayo ya Gym bila ya kuwa na ruhusa
Zrane aliongeza kuwa ni lazima mazoezi yafanyike kwa utaratibu maalum ambao utakuwa na manufaa kwa wachezaji na sio kuwachosha
ADVERTISE HERE