Bocco atamba, watamaliza hasira ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2019
Bocco atamba, watamaliza hasira ligi kuu

Nahodha wa Simba John Bocco ameanza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa wiki tatu akisumbuliwa na majeraha ya goti

Bocco ataanza kuonekana dimbani siku sio nyingi

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Azam Fc, amesema wamepania kutwaa taji la ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo pamoja na kushinda mataji ya mashindano mengine watakayoshiriki

Amesema kutolewa kwao mapema kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kumefanya waweke juu malengo yao ili kuwapa furaha mashabiki

"Kweli tulikuwa na hali ya huzuni kwa wachezaji hasa baada ya kuondolewa mapema jambo ambalo hatukuwa tumelitarajia kabisa," Bocco alinukuliwa na Championi

"Lakini kwa sasa tumepanga kuchukua mataji yote ili kupata nafasi ya kurejea tena kimataifa lakini pia kuwafurahisha mashabiki wetu baada ya kutokea kwa hali hiyo"

Simba imeshinda mechi mbili za kwanza ligi kuu na inaongoza ligi ikiwa na alama sita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’