Siku kama ya leo wamezaliwa mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula na kocha wa viungo, Adel Zrane
Manula amerejea kikosini akiwa imara baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua
Kipa huyo bora kwa misimu mitatu mfululizo ligi kuu ya Tanzania Bara, leo huenda akawa langoni kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa
ADVERTISE HERE