Leo Alhamisi Septemba 12, 2019 kimefanyika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu pamoja na kumtambulisha Mtendaji Mkuu mpya, Senzo Mazingiza kwa wajumbe wa bodi



ADVERTISE HERE