Amunike apeleka malalamiko FIFA, ni ya madai kwa TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Sep 2019
Amunike apeleka malalamiko FIFA, ni ya madai kwa TFF

Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike amelishtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa Shirikisho la mchezo huo Duniani (FIFA) kwa kutokulipwa sitahiki zake

Amunike aliyeisaidia Tanzania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2019 baada ya kusubiri kwa miaka 39, mkataba wake ulivunjwa baada ya Tanzania kuishia hatua ya makundi

Inaelezwa alikuwa na madai ya malimbizo ya mishahara pamoja na gharama za kuvunja mkataba wake

Amunike hakudumu Stars, akiiongoza timu hiyo katika michezo 10 pekee

Katika michezo hiyo, Stars ilishinda michezo miwili, sare miwili na kufungwa michezo sita

Nafasi yake imekaimiwa na kocha wa Azam Fc Etienne Ndayiragije ambaye amefanikiwa kuivusha Stars raundi ya kwanza ya michuano ya CHAN na pia kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya kombe la dunia kwa upande wa Afrika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
32m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’