Bado wachezaji hawajasahau machungu ya ligi ya mabingwa - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Sep 2019
Bado wachezaji hawajasahau machungu ya ligi ya mabingwa - Aussems

Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa bado nyota wake wanateswa na matokeo ya Ligi ya Mabingwa kwa kuwa tu hayakuwa matarajio yao wengi akili zao walielekeza zaidi huko ndiyo maana bado hawajiamini sana.

Simba ilitolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwezi uliopita na UD Songo ukiwa ni mchezo wa awali kabisa wa michuano hiyo.

Msimu uliopita Simba kimataifa ikiwa na kocha huyo walifika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa Afrika.

"Nikwambie ukweli nawaona kabisa wachezaji wangu wengi hawako sawa kabisa kisaikolojia na ukitaka kuona hilo ule mchezo na JKT walicheza kama basi tu na hii ni kutokana na kile ambacho walikipoteza," Aussems aliliambia Championi

"Wachezaji wangu wengi walikuwa wana mipango yao na matarajio ya kimataifa, lakini kama hivyo ikawa ghafla wametoka kama unavyojua mambo ya mpira yalivyo.

"Kwa sasa naona kabisa bado hawajarudi kwenye mstari hivyo wanatakiwa kutulia na kusahau yaliyopita na kukubali hali halisi kwa kilichotokea maana bila hivyo mambo yatakuwa sio mazuri"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’