Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael Mbaga
Mbaga aliyetua Simba akitokea klabu ya Yanga, ameanza maisha yake Msimbazi vizuri baada ya kuaminiwa na kocha Patrick Aussems
Aidha ameleta ushindani upande wa kushoto dhidi ya Mohammed Hussein, jambo ambalo wadau wanaamini litaboresha viwango vyao
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku yake hii muhimu..!
ADVERTISE HERE