Kagere apiga mbili Rwanda ikiifumua Shelisheli 7-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2019
Kagere apiga mbili Rwanda ikiifumua Shelisheli 7-0

Rwanda imejihakikishia kutinga hatua ya makundi kusaka tiketi ya fainali ya kombe la dunia mwaka 2022 baada ya kuifumua Shelisheli mabao 7-0

Rwanda imetinga hatua hiyo kwa ushindi wa jumla wa mabao 10-0 kufuatia ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza

Mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere ameendeleza makali yake ya kuzifumania nyavu hata kwenye timu ya Taifa baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi huo mnono

Kagere pia alifunga kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa huko Ushelisheli

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’